1

Karibu
PAMOJARISE

Mfumo wa kisasa wa uongozi wa fedha za vikundi vya kuweka na kukopa(vikoba)

Tunakusaidia kuongoza kikundi chako kwa urahisi, kwa ufanisi na kwa uwazi mkubwa. Pamoja tunaweza kufikia malengo makubwa zaidi.

Book Demo
Usalama wa Hali ya Juu
Urahisi wa Matumizi
Msaada wa 24/7
Pamoja Rise - Together We Rise
1

Kwa Nini PAMOJARISE?

Teknolojia inayobadilisha kabisa jinsi unavyoongoza kikundi chako cha kifedha

Uhifadhi bora wa data

Mfumo wenye usalama mkubwa unaohifadhi data za miamala yako kwa uwazi na uongozi bora

Ripoti za Wakati Halisi

Pata ripoti na uchambuzi wa kikundi chako wakati wowote, hakuna kusubiri mwisho wa mwezi au mwaka

Upatikanaji Popote

Tumia mfumo wakati wowote, popote ulipo - teknolojia ya kikundi chako mkononi mwako

Mfumo Upo flexible

Jukwaa letu linakubali aina mtindo wowote wa uendeshaji wa kikundi chenu; iwe riba kila mwezi, riba moja n.k. ni nyinyi tu

Faini za Kiotomatiki

Hakuna haja ya kuweka faini wewe mwenyewe kwa wanachama waliochelewa kulipa, tunafanya hivyo kwa ajli yenu kiotomatiki

Mfumo wa Notifications

Wanachama wanapokea notification wakati wa miamala na kila kitu kinachoendelea kwenye kikundi chenu, hakuna mambo ya kushitukizana baadae

Kila Kitu kipo Kiotomatiki

Pamoja Mini: Weka jina la mwekaji, tarehe, kiasi na aina ya muamala tu. Mengine yote tunafanya kiotomatiki.Pamoja Max: Lipa au toa pesa na vingine vyote vitamalizika kwenye mfumo kiotomatiki.

Uhifadhi Salama wa Fedha

Kwa Pamoja Max, fedha za kikundi zinahifadhiwa na kuongozwa kwa usalama mkubwa na uwazi kamili

Anza Safari ya Mafanikio ya Kikundi Chako Leo

Jiunge na vikundi vinavyotumia PAMOJARISE kufikia malengo yao ya kifedha

1

PAMOJARISE

Kuongoza vikundi vya kifedha kwa mtindo wa kisasa na kwa uwazi mkubwa

Huduma

Aina za Mifumo

  • Pamoja Max
  • Pamoja Mini

Mawasiliano

Tukiwa pamoja tutafika mbali

© 2025 PAMOJARISE. Haki zote zimehifadhiwa.